Natafuta mke

Natafuta mke

dtkvs

Member
Joined
Apr 5, 2018
Posts
18
Reaction score
3
Habari zenu wana JamiiForums,

Kitengo cha LoveConnect? Nina umri wa miaka 28 elimu yangu ni Bachelor degree, mimeajiriwa Serikalini.

Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo
Awe na umri wa miaka 26 kurudichini
Awe ameajiriwa au ana kazi yoyote inayomwingizia kipato
Dini yoyote kama ni muislam awe tayari kubadili dini na kuwa mkristo, hiyo itatusaidia kukuza watoto wetu kwenye maadili ya dini moja kuwaondolea mkanganyiko wa kidini.
Akiwa mchaga itapendeza.

MWISHO

Naomba kuwasilisha
 
Huwaga hawatafuti mke huwa wanatafuta mchumba.unatafuta mke wa nani au nikupe wakwsngu kwakuwa ninao wawili hiyo bachelor degree yako uliyo nayo bado hufahamu kiswahili ?
 
mamaaaaaa anataka mchaga[emoji16][emoji16][emoji16]...unataka kufa mapema
 
Huwaga hawatafuti mke huwa wanatafuta mchumba.unatafuta mke wa nani au nikupe wakwsngu kwakuwa ninao wawili hiyo bachelor degree yako uliyo nayo bado hufahamu kiswahili ?
Asante mkuu kwa kunisahihisha,,kuwa na degree sio kigezo cha kufahamu kila kitu
 
Huwaga hawatafuti mke huwa wanatafuta mchumba.unatafuta mke wa nani au nikupe wakwsngu kwakuwa ninao wawili hiyo bachelor degree yako uliyo nayo bado hufahamu kiswahili ?
Intelligent
 
Back
Top Bottom