NATAFUTA MKE

NATAFUTA MKE

Davety

Member
Joined
Dec 14, 2018
Posts
76
Reaction score
70
Mimi nina 30 umri nipo mbeya nimeajiriwa sirikalini lakini pia nimejiajiri mwenyewe.

Nahitaji mke mwenye umri kuanzia 23 mpaka 27 awe mrefu wa wastani kabila lolote..dini yoyote naomba awe mfanyakazi au mjasiriamali.

Nicheki inbox.
 
Mm hapo Niko huku kwa wasafwa itezi ila mm sio msafwa nichaga kama wahitaji wachaga karibu tulisongeshe kama wahitaji wasafwa wenzio poa safari njema
 
Back
Top Bottom