Natafuta Mke.

Natafuta Mke.

Daniel Adrian

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
311
Reaction score
326
Heri ya mwaka mpya nyote humu.

Baada ya kuwa single takribani mwaka mzima 2018, katika kuingia mwaka 2019, sitaki kuwa single tena hivyo nimeona ni heri nitafute mchumba ambaye baadae atakuwa mke.

Mimi nna miaka 25. Hivyo naomba huyo msichana atakayekuja asizidi miaka hiyo.

Zaidi ya umri mie sina vigezo vingi ila naomba tu huyo msichana awe angalau na elimu hata ya form 4.

Kama unahisi uko tayari, nicheki PM.
 
Ingelikua ndio mdada hapo anatafuta mchumba, kungekua na masharti kibao mara sijui "Asiwe na mashine iliyopinda kushoto" Daah! Hongera bro kila la kheri na mafanikio mema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom