Natafuta Mke

GoodDady

Member
Joined
Mar 28, 2019
Posts
91
Reaction score
42
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua

3: Awe anaweza kuongea kiingereza

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 24-30



SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: ELimu Degree

2: umri 31

3: Nimejiriwa



Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua

3: Awe anaweza kuongea kiingereza

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 24-30

6: Awe mkristo

7: Awe mcheshi maana napenda utani

SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: Elimu Degree

2: umri 31

3: Nimejiriwa

Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Hivi kuna watu walishafikiaga ndoa hapa Jf au watu wanakulana tu story Ndio inaishia hapo
 
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kuanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2;Awe na hofu ya Mungu

3:Awe anajitambua

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 20-30

6: Awe mkristo



SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: Elimu Degree

2: umri 31

3: Nimeajiriwa

Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Sogeza umri mbele kidogo.
Kibinti cha miaka 20-25 hakijawa na akili ya kulea mume na kuyakabili majukumu yake ipasavyo!
Vile vile umri huo ni wa kutombwer tombwer na vidume tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…