Natafuta Mke

Natafuta Mke

GoodDady

Member
Joined
Mar 28, 2019
Posts
91
Reaction score
42
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua

3: Awe anaweza kuongea kiingereza

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 24-30



SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: ELimu Degree

2: umri 31

3: Nimejiriwa



Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua

3: Awe anaweza kuongea kiingereza

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 24-30

6: Awe mkristo

7: Awe mcheshi maana napenda utani

SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: Elimu Degree

2: umri 31

3: Nimejiriwa

Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Hivi kuna watu walishafikiaga ndoa hapa Jf au watu wanakulana tu story Ndio inaishia hapo
 
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kuanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2;Awe na hofu ya Mungu

3:Awe anajitambua

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 20-30

6: Awe mkristo



SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: Elimu Degree

2: umri 31

3: Nimeajiriwa

Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Back
Top Bottom