Natafuta Mke

Natafuta Mke

Mbona hujataja kabila lako,
Hiyo degree ni ya nini isije kuwa ni ya Misitu au uvuvi,

Unapoishi hujasema husije kuwa upo Simiyu,

Urefu wako maana wadada wengi hawapendi mbilikimo,
Rangi yako usije ukawa kama wa Senegal,
Pia tupe history ya kwenu isije kuwa kwenu mwanamke mnaomuona kama kufuri au kiwanda cha kufyatua watoto.

Pia tuambia mtazamo wako juu ya jinsia ya kike
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kuanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2;Awe na hofu ya Mungu

3:Awe anajitambua

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 20-30

6: Awe mkristo

SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: Elimu Degree

2: umri 31

3: Nimeajiriwa

Karibu PM kwa aliyetayari .
 
Mbona hujataja kabila lako,
Hiyo degree ni ya nini isije kuwa ni ya Misitu au uvuvi,

Unapoishi hujasema husije kuwa upo Simiyu,

Urefu wako maana wadada wengi hawapendi mbilikimo,
Rangi yako usije ukawa kama wa Senegal,
Pia tupe history ya kwenu isije kuwa kwenu mwanamke mnaomuona kama kufuri au kiwanda cha kufyatua watoto.

Pia tuambia mtazamo wako juu ya jinsia ya kike
Hayo tutaelezana PM ila nipo Dar
 
Degree ya misitu ina shida gani...acha dharau za kisengerema... Sasa anahitajika mwanamke wewe unaleta vigezo vyako vya kiboya
 
Sogeza umri mbele kidogo.
Kibinti cha miaka 20-25 hakijawa na akili ya kulea mume na kuyakabili majukumu yake ipasavyo!
Vile vile umri huo ni wa kutombwer tombwer na vidume tofauti
Amekudanganya nani, wazazi wangu walioana wakiwa na umri huo
 
Mbona hujataja kabila lako,
Hiyo degree ni ya nini isije kuwa ni ya Misitu au uvuvi,

Unapoishi hujasema husije kuwa upo Simiyu,

Urefu wako maana wadada wengi hawapendi mbilikimo,
Rangi yako usije ukawa kama wa Senegal,
Pia tupe history ya kwenu isije kuwa kwenu mwanamke mnaomuona kama kufuri au kiwanda cha kufyatua watoto.

Pia tuambia mtazamo wako juu ya jinsia ya kike
Daah watu mna dharau aisee
 
Mchagua jembe si mkulima wakubwa watanielewa ila wale wanaotaka kuoa au kuolewa na wanamitindo ma fashooon huja na hizo pumba mara sijui kitambi akinenepa ndani ya ndoa mnaachana?
 
Mpuuzi wewe,mbaguzi na mpumbavu!

Ajabu sana jamii forum kuwa na watu wapuuzi kama wewe.
 
Hahahahahaha nikweli Kabisa mkuu.
Umesema point
Mchagua jembe si mkulima wakubwa watanielewa ila wale wanaotaka kuoa au kuolewa na wanamitindo ma fashooon huja na hizo pumba mara sijui kitambi akinenepa ndani ya ndoa mnaachana?
 
Mbona hujataja kabila lako,
Hiyo degree ni ya nini isije kuwa ni ya Misitu au uvuvi,

Unapoishi hujasema husije kuwa upo Simiyu,

Urefu wako maana wadada wengi hawapendi mbilikimo,
Rangi yako usije ukawa kama wa Senegal,
Pia tupe history ya kwenu isije kuwa kwenu mwanamke mnaomuona kama kufuri au kiwanda cha kufyatua watoto.

Pia tuambia mtazamo wako juu ya jinsia ya kike

Dah
 
Back
Top Bottom