Natafuta mke

dtkvs

Member
Joined
Apr 5, 2018
Posts
18
Reaction score
3
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ni mtumishi wa serikali nimerudi tene kwenu wanaMMU Natafuta mchumba na baadae kuwa mke. Ningependa awe na vigezo vifuatavyo
...mkristo dhehebu lolote..akiwa mroman catholic itapendeza zaidi
.....asiwe mrefu sana
......umri wake kuanzia miaka 21-27
.....akiwa na mtoto mmoja itapendeza zaidi coz na mm nina mtoto mmoja
.....awe na mapenzi ya dhati
Naomba kuwasilisha
 
Kila la kheri mkuu!
 
Ukipata Wengi Naomba M1
 
Single maza utawapata wengi tu humu, ila maswali yao yatalenga uchumi unaomiliki.
 
OA ULIYE MZALISHA.....!

acha uzembwela weye bado mtoto
 
Mkuu umesahau kipengele cha, Akiwa mchaga itapendeza[emoji28][emoji28] kama ulivyosema kwenye thread yako ya mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…