Natafuta mke

Natafuta mke

contour

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
50
Reaction score
45
Habarini wana jf wote hususani mliopo kwenye ukurasa huu wa love connect


Moja kwa moja nizame kwenye maada

Nina umri wa miaka 28 elimu nimehitihu shadaha ya kwanza(degree) Dini ni mkristo pia mm ni mtanzania niko Motogoro. Natafuta mwanamke wa kumuoa umri 18-26 awe anajua kusoma na kuandika kutokea mahali popote bila kubagua Dini.

Kama upo tayari Njoo inbox ama hata hapa toa contacts nitakutafuta.

Asante!
 
Acha ufala we ccm [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uchukue kadi ya chama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuanze kuimba mapambio.



Wanzuki oyeeeèeee
 
Back
Top Bottom