Habarini wana jf wote hususani mliopo kwenye ukurasa huu wa love connect
Moja kwa moja nizame kwenye maada
Nina umri wa miaka 28 elimu nimehitihu shadaha ya kwanza(degree) Dini ni mkristo pia mm ni mtanzania niko Motogoro. Natafuta mwanamke wa kumuoa umri 18-26 awe anajua kusoma na kuandika kutokea mahali popote bila kubagua Dini.
Kama upo tayari Njoo inbox ama hata hapa toa contacts nitakutafuta.
Asante!