Natafuta mke

Natafuta mke

GoodDady

Member
Joined
Mar 28, 2019
Posts
91
Reaction score
42
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua

3: Awe anaweza kuongea kiingereza

4: Awe anajua kupika na msafi

5: umri miaka 24-30

SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: ELimu Degree

2: umri 31

3: Nimejiriwa

Karibu PM kwa aliyetayari .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wake tunaojua kiingereza ila kupika hatujui unatusaidiaje hautupeleki amazon collage?!
 
we boya kweli>> kiingereza kinakusaidia nini falawee<
Kiingereza kinasaidia mkuu kwenye mahusiano, mi mwenyewe nitaweka bandiko soon la kutafuta mke, ila kigezo namba moja awe good expert kwenye mathematics na awe fluent in English speaking pia awe anaweza kuendesha gari na bila kusahau leseni class C. Kuongea kifaransa ni added advantage.🤔🤔
 
Back
Top Bottom