Zion jrGong Marley
Senior Member
- Aug 27, 2018
- 173
- 108
Habari zenu wana jamvi. Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia katika mahusiano ili tufunge ndoa .Sifa awe mrembo mchapa kazi mwenye upendo ,dini yoyote ila tukifikia hatua ya ndoa awe tayari kufunga ndoa ya kikristo RC, Elimu ngazi yoyote kuanzia form four kuendelea mbele. Mimi naishi Dar Es Salaam ni muajiriwa elimu yangu ni degree.Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app