Natafuta mke

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 27, nipo mbele yenu kutafta mwanamke ambae atakuwa mke wangu siku chache zijazo mbele.

Sifa zangu.
Mrefu,umbo la kati sio mnene wala mwembamba,mweusi,pia ninakazi yangu ya kuniingia kipato hapa mwanza

Mwanamke ninaemtafta
Awe mweupe, mrefu wa wasitani,elimu kitato cha NNE na kwendelea dini yeyote, akiwa na kazi au kibarua itakuwa vizuri zaidi..pia awe anapatikana mwanza mjini au kanda ya ziwa

Karibu pm IPO wazi!
 
Dah! Sijui kwa nini sina ujasiri wa kufungua uzi wa kutafuta mwanamke wa kuoa humu jukwaani! Yaani nimekua domo zege mpaka nimepitiliza.

Umri unazidi kunitupa! Muda si mrefu na mimi nitakuja na uzi humu kama ule wa Mtemi Kisandu a.k.a Don Nalimison! Huku nikilia lia tu; I haven't a house, I haven't children, I haven't a wife, I haven't money!!
 
Ngoja waje
 
Kwaio hutaki mwanamke mweusi..? Vijana wa kanda ya ziwa sijui tuna nini tu na wanawake weusi [emoji23][emoji23]..

......Ila mimi nawapendaga sana wadada weusi sijui kwanini!
 
Kwaio hutaki mwanamke mweusi..? Vijana wa kanda ya ziwa sijui tuna nini tu na wanawake weusi [emoji23][emoji23]..

......Ila mimi nawapendaga sana wadada weusi sijui kwanini!
Kitu cheupe kwa msukuma nihatariiii wanapenda wanaweza toa zizi lote la ng'ombe kwa cheupe[emoji23]
 
Kitu cheupe kwa msukuma nihatariiii wanapenda wanaweza toa zizi lote la ng'ombe kwa cheupe[emoji23]
Kweli mkuu, wasukuma wanapenda wanawake weupe [emoji23][emoji23] sijui huwa wanagundua nini kwa whites...
 
Kweli mkuu, wasukuma wanapenda wanawake weupe [emoji23][emoji23] sijui huwa wanagundua nini kwa whites...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajua wao wanatupendea Nini[emoji23]
 
wanakuja mkuu

hili ni tangazo tosha kabisaaaa [emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…