Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Hajapata upendo wa dhati ndio maana yupo hivyo,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekesh kweli akikusikia Naushin atakwambia JF hakuna wanaume
Akipata wa kumpenda na kumtuliza ni binti mzuri sana.