Natafuta mke

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umenichekesh kweli akikusikia Naushin atakwambia JF hakuna wanaume
Hajapata upendo wa dhati ndio maana yupo hivyo,
Akipata wa kumpenda na kumtuliza ni binti mzuri sana.
 
Hajapata upendo wa dhati ndio maana yupo hivyo,
Akipata wa kumpenda na kumtuliza ni binti mzuri sana.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Unakumbuka thread yangu kuhusu mtoto kutojiamini? Ulisema vitu vina source hata mtu akiwa mdogo. Nilitaka kumuuliza kama kuna ubaya aliwahi kutana nao akiwa mdogo ila nikahofia nitapewa shit za kiwango kikubwa. Maana inaonekana anachukua wanaume wote.
 
Sijaja kutukanana na wewe binti. Hata hivyo waislamu ninaowajua mimi hawako kama wewe...we sema upo kimboka sasa hivi unasubiria wateja huwezi jua unaweza kupata mteja hata hapa kwenye thread
Mimi nasoma comment zake napigwa butwaa
 
Nilikwambia kuhusu trauma za abuses, hua zinaishi kwa miaka mingi,

Na ndio kitu ninachokiona kwa huyo binti.
 
Reactions: Luv
Nimeanza na wewe kwasababu umetumia lugha chafu halafu bado ukajificha kwenye Kivuli cha Cha Uislamu. Facts had to be set straight watu wasije fikiri mabinti wa Kislamu wanatabia kama hizo. Umenielewa binti?
Hii inagharimu Sana

Kuna baadhi wanajificha kwenye kivuli Cha dini kuficha maovu yao

Mwisho dini Fulani inaonekana ni mbaya
 
Nilikwambia kuhusu trauma za abuses, hua zinaishi kwa miaka mingi,

Na ndio kitu ninachokiona kwa huyo binti.
Ndiyo maana sikumuuliza. Ila kama ndiyo maisha yake nje ya JF basi kutakuwa kuna hali anapitia.
 
Reactions: Luv
Ndiyo maana sikumuuliza. Ila kama ndiyo maisha yake nje ya JF basi kutakuwa kuna hali anapitia.
Mbaya Sana hii

Mtu wa Aina hii hata kauli zako zuri anazigeuza ziwe mbaya na atakujibu vibaya tu
 
Mbaya Sana hii

Mtu wa Aina hii hata kauli zako zuri anazigeuza ziwe mbaya na atakujibu vibaya tu
πŸ˜‚ πŸ˜‚ wanakuwa sensitive kila kitu wanachukulia ugomvi.
 
Hongera ww unaeweza kucheka kila siku u are lucky... look like happiness is always around u.. different from us .. happiness comes for a days and left for ages
Why are you not happy? Wanasema being happy is a choice. One day nilikuwa naongea na mama flani mchina wanamiliki kiwanda flani hapa dsm. Akaniambia, kinachowashangaza TZ, na tabu zote na umasikini wa watu, lakini wanaonekana wana furaha. So what is eating you?
 
Anzia msikitini kwako kwa shekh atakupa msaada sana kuliko huku mitandaoni
 
I don't like speaking about it I'm in good mood
Okay, I understand that... But remember we are like balloons, we need to release some pressure when we are holding too much. Otherwise, we would end up bursting. We do that by sharing. Kwa wenzetu watu hadi wanalipia kusikilizwa na psychologists. I am glad that you are in a good mood. Lakini you will never be free until you talk about it.
 
U think it will help...past memories will always be there haunting me
Yes, it will surely help. Yes, of course, but when you share and talk to someone, you will feel much better. That hate and anger that burns inside of you will end. Jaribu uone, because you will never know until you try.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…