Nimeamua kuacha kasumba zangu na kutafuta mke (muislamu)
WASIFU WANGU
- Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30.
- Muislamu (msomi kiasi wa dini)
- mrefu
- mweusi
- mwajiriwa
- sina gari
- sina nyumba
- sina hata kiwanja
- Najimudu ki maisha kwa kiasi
- elimu yangu kidato cha nne tu aisee
- Sio mnywaji wa pombe wala mvutaji wa sigara
WASIFU WA MWANAMKE NIMTAKAYE
- Umri kati ya miaka 22 - 28
- asiwe mchumba wala mke wa mtu
- Awe muuslamu
- Awe tayari kuishi mkoa wowote TZ
Mengine tutafahamishana zaidi
Muhimu
"KAMA UPO TAYARI NJOO PM TUYAJENGE"
ASANTE.