Natafuta mke

Natafuta mke

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,952
Nimeamua kuacha kasumba zangu na kutafuta mke (muislamu)

WASIFU WANGU

- Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30.

  • Muislamu (msomi kiasi wa dini)
  • mrefu
  • mweusi
  • mwajiriwa
  • sina gari
  • sina nyumba
  • sina hata kiwanja
  • Najimudu ki maisha kwa kiasi
  • elimu yangu kidato cha nne tu aisee
  • Sio mnywaji wa pombe wala mvutaji wa sigara

WASIFU WA MWANAMKE NIMTAKAYE

  • Umri kati ya miaka 22 - 28
  • asiwe mchumba wala mke wa mtu
  • Awe muuslamu
  • Awe tayari kuishi mkoa wowote TZ

Mengine tutafahamishana zaidi


Muhimu

"KAMA UPO TAYARI NJOO PM TUYAJENGE"

ASANTE.
 
Nimeamua kuacha kasumba zangu na kutafuta mke (muislamu)

WASIFU WANGU

- Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30.

  • Muislamu (msomi kiasi wa dini)
  • mrefu
  • mweusi
  • mwajiriwa
  • sina gari
  • sina nyumba
  • sina hata kiwanja
  • Najimudu ki maisha kwa kiasi
  • elimu yangu kidato cha nne tu aisee
  • Sio mnywaji wa pombe wala mvutaji wa sigara

WASIFU WA MWANAMKE NIMTAKAYE

  • Umri kati ya miaka 22 - 28
  • asiwe mchumba wala mke wa mtu
  • Awe muuslamu
  • Awe tayari kuishi mkoa wowote TZ

Mengine tutafahamishana zaidi


Muhimu

"KAMA UPO TAYARI NJOO PM TUYAJENGE"

ASANTE.
Njooo pm
 
Back
Top Bottom