Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 294
Nina ofisi 2 labda kulelewa kimapenzi sina shida na pesa za mtu ninazo zangu zinanitosha"Umri miaka 22-38" mhhh!
Hapo kwenye mpaka bila shaka unatafuta kulelewa wewe sio bure
Nasali kwa mwaka naenda mara 7 kanisaniUnaishi dar na unasali kkkt........labda husali wewe mbona kkkt ina mademu wakali umeshindwaje, ebu uwe unaongea nao siyo unakufa na hisia zako
Mi mrefu mweusi sio mwembamba sio mnene....umri miaka 33 nimeandikaUtapata ,ila wasifu haujatosha.
Urefu ,umri wako ,
Fanya fastangoja nije pm