Natafuta mke

Natafuta mke

Grealish10

Senior Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
104
Reaction score
294
Kama kichwa cha habari, kinavyojieleza malengo yangu ni kuhakikisha mpaka mwezi wa 12 nakuwa ndani ya ndoa takatifu hivyo najitokeza kutafuta mke.

Mimi nimesoma mpaka a level, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri, mkristo wa KKKT na miaka 34. Mwanamke ninayemtaka umri kuanzia miaka 22 mpaka 38, dini na kabila sio muhimu kabisa.

Asante
 
Unaishi dar na unasali kkkt........labda husali wewe mbona kkkt ina mademu wakali umeshindwaje, ebu uwe unaongea nao siyo unakufa na hisia zako
Nasali kwa mwaka naenda mara 7 kanisani
 
Una gari aina gani? Sio unaleta mbwembwe hapa wakati unamiliki vipaso sijui vi ist na jamii nyingine ya hivyo vigari
 
Back
Top Bottom