Natafuta mke

Natafuta mke

Abdulazizy

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
6
Reaction score
4
Kama niliyvo sema apo juu mimi nahitaji mke awe kweli na utayari pia umri usizidi miaka 29, nipo Dar.

Huu ndio wasufu wangu
Umri wangu 25
Dini yang muslim
Kazi mfanya biashara

NB:dini Ata akiwa mkristo ila awe tayari kubadili ila awe tayari kwa ndoa mwaka huu pia karibu (asiwe mwembamba Sana)
Phone:0692369323
 
Nawazaga sana kipengele cha mitala
Tukishaanza chini tukatafuta kwa umoja na bidii

Maendeleo yakapatikana na kuonekana, muda wa kufurahia matunda tulioyapata baada ya uchumi kuongezeka

Unasikia naomba uninyoshee kanzu fulani nanyoooosha kwa uzuri kumbe anaenda kuongeza mke mwingine

Huyo aliyeongezeka Mungu asaidie awe mwema akiwa kivuruge sasa Duuuh nikiwazaga tu.
 
Sipo hvo

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Nawazaga sana kipengele cha mitala
Tukishaanza chini tukatafuta kwa umoja na bidii

Maendeleo yakapatikana na kuonekana, muda wa kufurahia matunda tulioyapata baada ya uchumi kuongezeka

Unasikia naomba uninyoshee kanzu fulani nanyoooosha kwa uzuri kumbe anaenda kuongeza mke mwingine

Huyo aliyeongezeka Mungu asaidie awe mwema akiwa kivuruge sasa Duuuh nikiwazaga tu.

Kuwa na mke mwenza au kuwa na michepuko ipi bora?

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom