Natafuta mke

Habari. Natafuta mwenza wa maisha( mke mtarajiwa)
Naishi Moshi
Umri miaka 36
Kazi ni biashara

Mwanamke awe na sifa hizi
Awe na umri kuanzia 20-35
Alie tayari kua na familia
Mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu
Mwanamke mwenye uhitaji anicheki DM tuyajenge!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wataftaji mko wengi sana humu kila mmoja na uzi wake. Kagua nyuzi humu mtakutana wahitaji. Otherwise kila la heri mkuu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…