Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
We mwanamke hacha umbea jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwanamke hacha umbea jamani
Hili nalijua mpendwaKitu ambacho unatakiwa kujua ni hiki, mtandaoni kuna mambo mengi bora mme wa kukutana nae nje ya mtandao.akakuona akaridhia akakuomba no.
Mtandaoni utakuta mtu mushapeana no kumbe mfupiiii na wewe hupendi wafupi, nae wenda anataka mwanamke mwenye chura likubwa kumbe wewe huna sasa uoni hapo kuna shida? Etc etcccc