Habari zenu wadada wa JF,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 38, elimu yangu ni ya Chuo kikuu, Mkristo wa Roman Catholic, mwajiriwa serikalini, mrefu wa 168 cm; ninayeishi na kufanya kazi mbeya mjini; ninatafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha mahusiano ambayo yatatupelekea kuishi maisha ya ndoa (Mume na mke) na hatimaye kujenga familia imara pamoja.
Sifa za Mwanamke ninayemhitaji:
KARIBUNI SANA PM.
ASANTE.
UPDATES.........!
Jamani wadada wa JF,
Hivi hapa mbeya hakuna wanawake ambao ni either WALIMU AU MA-NESI ambao wapo single na wana uhitaji wa kupata mchumba/Mume wa maisha ili wafurahie maisha ya mume na mke na kujenga familia?
Nauliza hivi kwa sababu wanapita kimya kimya tu hata salamu wajameni ?
Au masharti yangu ni magumu ? Basi hata kama una mtoto ila upo single karibu.
Hivi hakuna ma clinical officers, medical officers au medical doctors ambao mpo single jamani ?
NOTE
Sasa napanua wigo kwa WENGINE: Uwe Lawyer karibu, Accountant karibu, administrator pia karibu , na pia hata kama ni askari karibu maana wote mna haki ya kupendwa na kuolewa pia.
So the door is open to everyone.
Karibuni Sana

- Awe amehitimu kidato cha nne na kuendelea/ Certificate/ Diploma/Bachelor/Master degree
- Akiwa mwalimu (shule ya msingi, sekondari, au chuo; itapendeza) au Nesi wa hospital ( EN, RN/ANO, au NO; itapendeza zaidi) au Tabibu (CO, MO, au MD - itapendeza sana)
- AU
- - Awe Lawyer (mwanasheria), accountant (Mhasibu), administrator (Utawala), Askari - police trafik, askari kawaida, magereza, mwanajeshi, Usalama n.k
- Awe anaishi mkoa wa mbeya ( mbeya mjini itapendeza zaidi).
- Awe na umri kuanzia miaka 25 na kuendelea hadi miaka 35
- Dini yeyote ile ( kikubwa ni maelewano ya dhati baina yetu - hivyo hata muislam kama ana nia ya dhati namkaribisha kwa moyo mmoja).
- Awe tayari kupima HIV pamoja endapo tutakubaliana kuanza safari mpya ya mahusiano ya kujenga familia bora pamoja.