makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Umekubali?[emoji23][emoji23] haya bana
Nakuja kukuchukua msibani hapo mke wangu mtarajiwa, huwezi pigwa na baridi nipoJamani ungejua nipo kwenye majonzi(msibani) hata maeneo niende saa ngapi[emoji23]
Hapanaa sikutaki😂Umekubali?
Ohooo Pole na MsibaJamani ungejua nipo kwenye majonzi(msibani) hata maeneo niende saa ngapi[emoji23]
Sikutaki mume wa mtu weweNakuja kukuchukua msibani hapo mke wangu mtarajiwa, huwezi pigwa na baridi nipo
Mkuu mi si nishakukubali hivyo hivyo..Mkuu ongeza umri kidogo hata sisi wenye 34 yrs na sura mbaya tupate bahati jamani
Am not the one mkuu, hata hatufanani na huyo uliyemuonaOhooo Pole na Msiba
Kwahy nilikufananisha , ila ni wew kabisa.
Mishikaki, nyama choma, mie ndio nishakuwa nakutaka, haiwezekani kila anaekuja huna vigezo, sasa mie sitaki kigezo chochote, muhimu uwe unapumua tu hata kama ni kwa mashine[emoji23]Hapanaa sikutaki[emoji23]
Haya bana.Am not the one mkuu, hata hatufanani na huyo uliyemuona
Mume wa mtu kwani nyani.. Bananeni hapa hapa kama yeye mtu nawe mtu pia unastahiki niwe mumeo.Sikutaki mume wa mtu wewe
Mungu kanionaNjoo pm maana na Mimi natafuta mke na kigezo siyo Sura...
Picha za Google tu hizo Sina loloteMmh una sura nzurii bana, shape ndiyo hatari na nusu😂
Nipe namba ya mkeo nimwambie hivi unavyoniambia😂Mume wa mtu kwani nyani.. Bananeni hapa hapa kama yeye mtu nawe mtu pia unastahiki niwe mumeo.
Kaongoo ni wewePicha za Google tu hizo Sina lolote
😂😂..ukiniona live hutaamini..Kaongoo ni wewe
Hapa kwenyewe huenda akawa anasoma..Nipe namba ya mkeo nimwambie hivi unavyoniambia[emoji23]
Ok unajidai eeh, ngoja utakavyonuniwa huko homeHapa kwenyewe huenda akawa anasoma..
Usinitishe, chukua.. 0659445718 [emoji23]
Hanuniwi mtu hapa.Ok unajidai eeh, ngoja utakavyonuniwa huko home
Hello uko poa??Hbr Jf,
Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
Sifa zangu:
- Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia
- Awe mrembo wa sura
- Asiwe mlevi
- Umri usizidi miaka 28
- Elimu ya chuo na kuendelea
- Asiwe na mtoto
- Mkristo
- Nina umri wa miaka 35
- Situmii kilevi chochote
- Nimeajiriwa, kipato cha kutosha kulea familia pia ni mjasiriamali
- Mrefu wa wastani