AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 751
Kama title inavojieleza hapo, natafuta mwanamke atakaekua mpenzi na mwisho wa siku mke wa ndoa..
SIFA
Umri: Miaka 20 - 23
Dini: Mkristo itapendeza zaidi lakini si lazima sana
Elimu: Siangalii sana, kikubwa awe na uelewa tu wa ulimwengu tulionao Sasa.
Rangi: Mweupe
Urefu: Mrefu wa wastani
Mwili: Mwembamba
Kabila: Sichagui
Awe ameajiriwa, amejiajiri au hana ajira fresh tu
Mimi: Mrefu, mweusi, Mwembamba, Mkristo, muajiriwa wa serikali, Miaka 27. Kama uko interested karibu PM tufahamiane zaidi