Gorbachev lenin
New Member
- Sep 19, 2022
- 2
- 0
Habari zenu,
Natafuta mwanamke wakumuoa, umri wangu miaka 31, ni muumini wa Roman Catholic, nimejiajiri kwenye biashara za mazao yatokananayo na kilimo, naishi Moshi, Kilimanjaro, elimu yangu Shahada ya Kwanza.