Natafuta mke

Natafuta mke

Mikepoti

Senior Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
101
Reaction score
136
Mimi ni kijana wa miaka 32;
~ Urefu 170 cm.
~ Kabila mchaga.
~ Elimu Shahada.
~ Single father.
~ Mfanyabiashara.

Mke awe na sifa;
~ Elimu kuanzia form 6.
~ Miaka mwisho 27.
~ Awe maji ya kunde.
 
Mimi ni kijana wa miaka 32
Urefu 170 cm
Kabila mchaga
Elimu Shahada
Single father
Mfanyabiashara

Mke awe na sifa
Elimu kuanzia form 6
Miaka mwisho 27
Awe maji ya kunde


Chek me 0765902229
Hauko serious.

Umeangalia mtaani kwako ukakosa ?

Umeangalia classmates wako wa primary, O level, A level na chuo ukakosa ?

Umeangalia hata maeneo unayofanyia kazi ukakosa ?

Umetembelea hata sokoni na kanisani ukakosa ?

Kwenye harusi za wenzako je nako ulikosa wasichana ?

Umepanda mwendokasi walau a week ukakosa watoto wazuri?

Kwa Mwamposa umeshindwa kwenda ???

Acha uzembe.
 
Sasa na elimu yangu ya drsa la 7 b ndio nimeshakosa mume[emoji20][emoji2304]
 
Back
Top Bottom