Jesus cousin
Member
- Jan 24, 2023
- 5
- 8
Amen,naona mumeo lissu karudi!Halelujah!
Je wewe ni Mwanamke mrembo na siyo Msichana. Umri wako Unaanzia Miaka 31+ Unatokea Familia ya wacha Mungu? Una Elimu ya wastani? Unajishughulisha Kujiingizia Kipato? Upo Tayari Kuishi nje ya Dar?
Mimi ndiye Mume Wako Nakutafuta.
Sifa zangu ni Mwanaume, Baba na Kiongozi wa Familia, ni Mrefu wastani Mweusi, Umri wangu Miaka 40, Elimu yangu ni ya Kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar ni Mkristo. Naomba Uje Tuyajenge. Only serious Women and not for Girls.
Wacha Mungu wamekumbukwa. Mungu akupe hitaji la moyo wako.Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya Dar?
Mimi ndiye mume wako nakutafuta.
Sifa zangu ni mwanaume, baba na kiongozi wa familia, ni mrefu wastani, mweusi, umri wangu miaka 40, elimu yangu ni ya kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar, ni Mkristo. Naomba uje tuyajenge.
Only serious Women and not for Girls.
hongera mkuu wewe ni CPA(T) au ACCA?
Msikariri maisha, wa mtandaoni anatokea sayari ipi?Mtaani wanawake kibao unaishi nao. Mwanamme anaetafuta mke mtandaoni, anashida pahala.
Msikariri maisha, wa mtandaoni anatokea sayari ipi?
Mtumishi umeahampata au ndio mimi ulikuwa unanisubiri?Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya Dar?
Mimi ndiye mume wako nakutafuta.
Sifa zangu ni mwanaume, baba na kiongozi wa familia, ni mrefu wastani, mweusi, umri wangu miaka 40, elimu yangu ni ya kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar, ni Mkristo. Naomba uje tuyajenge.
Only serious Women and not for Girls.