Natafuta mke

Natafuta mke

Jesus cousin

Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
5
Reaction score
8
Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya Dar?

Mimi ndiye mume wako nakutafuta.

Sifa zangu ni mwanaume, baba na kiongozi wa familia, ni mrefu wastani, mweusi, umri wangu miaka 40, elimu yangu ni ya kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar, ni Mkristo. Naomba uje tuyajenge.

Only serious Women and not for Girls.
 
Je wewe ni Mwanamke mrembo na siyo Msichana. Umri wako Unaanzia Miaka 31+ Unatokea Familia ya wacha Mungu? Una Elimu ya wastani? Unajishughulisha Kujiingizia Kipato? Upo Tayari Kuishi nje ya Dar?

Mimi ndiye Mume Wako Nakutafuta.

Sifa zangu ni Mwanaume, Baba na Kiongozi wa Familia, ni Mrefu wastani Mweusi, Umri wangu Miaka 40, Elimu yangu ni ya Kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar ni Mkristo. Naomba Uje Tuyajenge. Only serious Women and not for Girls.

Wadada mshidwe kujisevia
 
Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya Dar?

Mimi ndiye mume wako nakutafuta.

Sifa zangu ni mwanaume, baba na kiongozi wa familia, ni mrefu wastani, mweusi, umri wangu miaka 40, elimu yangu ni ya kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar, ni Mkristo. Naomba uje tuyajenge.

Only serious Women and not for Girls.
Wacha Mungu wamekumbukwa. Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Mtaani wanawake kibao unaishi nao. Mwanamme anaetafuta mke mtandaoni, anashida pahala.
 
Je, wewe ni mwanamke mrembo na siyo msichana. Umri wako unaanzia Miaka 31+, unatokea familia ya wacha Mungu? Una elimu ya wastani? Unajishughulisha kujiingizia kipato? Upo tayari kuishi nje ya Dar?

Mimi ndiye mume wako nakutafuta.

Sifa zangu ni mwanaume, baba na kiongozi wa familia, ni mrefu wastani, mweusi, umri wangu miaka 40, elimu yangu ni ya kutosha, ni Mkaguzi wa Hesabu na Kodi. Naishi nje ya Dar, ni Mkristo. Naomba uje tuyajenge.

Only serious Women and not for Girls.
Mtumishi umeahampata au ndio mimi ulikuwa unanisubiri?
 
Back
Top Bottom