Natafuta mke

Natafuta mke

Newtongift

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
93
Reaction score
5
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40, naishi Dodoma kwa sasa, kazi mjasiliamali, elimu kidato cha sita. Nnahitani mwanamke mwema mwenye umri miaka 24 hadi 32.

Elimu kuanzia kidato cha nne hadi PhD, mwenye kazi yeyote, mrefu wastani, mweupe au maji ya kunde asiye na rangi mkorogo (Maker up), popote Africa Mashariki; Tanzania, Kenya na Uganda, mwenye hofu ya Mungu, dini mkristu akiwa mwislamu awe tayari kubadili dini.

Aje kwa inbox or PM kwa maelezo zaidi.

Wife karibu sana.
 
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 naishi Dodoma Kwa Sasa kazi mjasiliamali Elimu kidato Cha sita nnahitani mwanamke mwema mwenye umri miaka 24 Hadi 32.

Elimu kuanzia kidato cha nne Hadi PhD mwenye kazi yeyote Mrefu Wastan mweupe Au maji ya kunde asiye na rangi mkorogo (Maker up) popote Africa mashariki Tanzania, Kenya na Uganda mwenye hofu ya Mungu dini mkristu akiwa mwislam u awe tayari kubadili dini aje Kwa inbox or pm Kwa maelezo zaidi.

Wife karibu sana.
Huko mtaani kwenu hakuna wanawake au ndo Domo zege?
 
Bado hajawa babu coz haja fika 45 ila ni kolo na elimu yake ameshindwa kwenda hata kwa wachungaji wamtongozee mpaka aje kutafta mademu wakujitolea anyway labda kuna zuzu mwenzie ambaye ana sota
Husiseme mm ni mwanaume sema mim Babu wa miaka 40+.......
 
Back
Top Bottom