Newtongift
Member
- Feb 21, 2014
- 93
- 5
Mimi nina vigezo vyote ila sina kazi, daaah
We njoo kwangu,Mimi nina vigezo vyote ila sina kazi, daaah
Huko mtaani kwenu hakuna wanawake au ndo Domo zege?Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 naishi Dodoma Kwa Sasa kazi mjasiliamali Elimu kidato Cha sita nnahitani mwanamke mwema mwenye umri miaka 24 Hadi 32.
Elimu kuanzia kidato cha nne Hadi PhD mwenye kazi yeyote Mrefu Wastan mweupe Au maji ya kunde asiye na rangi mkorogo (Maker up) popote Africa mashariki Tanzania, Kenya na Uganda mwenye hofu ya Mungu dini mkristu akiwa mwislam u awe tayari kubadili dini aje Kwa inbox or pm Kwa maelezo zaidi.
Wife karibu sana.
Kwan Babu sio mwanaumeš¤£š¤£Husiseme mm ni mwanaume sema mim Babu wa miaka 40+.......
Wewe njoo kwangu nikufundishe namna bora ya kulima ngogwe, na iliki kwa kutumia jembe la mkono.Mimi nina vigezo vyote ila sina kazi, daaah
Acha kutunyanyasa wazee! Hata sisi pia tuna haki ya kupenda, na pia kupendwa.Hawa ndo wale wazee ambao walipokuwa kwenye umri wa 20's walijazana ujinga wa #KataaNdoa
Uchakataji on the fleekš¤£Njoo PM
Husiseme mm ni mwanaume sema mim Babu wa miaka 40+.......
Sio husiseme, ni usiseme[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Husiseme mm ni mwanaume sema mim Babu wa miaka 40+.......
We njoo kwangu,