Wataanza kutoa mfano wa Harmonies na SarahAfadhali utoe angalizo maana wazee wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli, ndoa ni utumwa wakipita hapa watamshauri alichonacho ajitahidi amsaidie mama yake kingine ale bata asijaribu kukokota mtoto wa mtu mwingine awe mnyonyaji ngoja tuone
Changamka tule pilau my wanguNgoja nichangamkie fursa kabla kataa ndoa hawajamuharibu,CV yake Ni π₯
Wataanza kutoa mfano wa Harmonies na Sarah
mkuu samahani,..ila hii mimi haya mambo ya kutafuta wake/waume huku mitandaoni hua sikubaliani nayo hata kidogo..mke mwema na mume mwema kwako anapatikana katika mazingira yako physically umuone,umchunguze mkutane mpendane muoane..haya mambo ya mtandaoni haya ya email sjui nini sijui mnatafutaga vitu gani huku,..why msi search huko mitaani.Ndugu Wana JF napenda kuwasalimu Kwa jina la bwana wetu yesu kristo.
Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani Kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.
Nimetumia muda wangu mwingi kuwekeza katika sector mbali mbali Ili nipige vita umaskini kwa sababu nachukia umaskini na aina zake. hakuna kitu kibaya kama umaskini.
Kwa kuwa nimejipanga vizuri sasa natafuta mke Ili tuwe na familia vile vile tusaidiane na mke kusimamia miradi iliyopo na kuanzisha miradi mingine.
Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.
Kutokana na mila na tamaduni za kiafrika miaka 38 bila kuwa na familia naesabiwa kwamba nimechelewa kwangu mimi bora nichelewe ila nifike salama.
Nimewekeza katika sector mbali mbali kama vile
(a) Accomodation service(s)
(b) wholesale and retail trades
(C) live stock herding
(d) financial services etc.
Sifa zangu.
Sifa za mke
- Economic fighter
- 38 years of age
- Poverty protestant
- Am posesing more than one university degrees
- Economic fighter
- matured woman from 28 to 37 years of age.
- Mchapa kazi.
Wito
Msichana au mwanamke yeyote anayewiwa karibu tuzungumze tukikubaliana tufunge ndoa.
Mawasiliano.
1. Pm.
2. email address: wanyangithomas24@gmail.com
Pilau tunalo mbona....tushaanza mazungumzo ya awali na Bwana harusi.Changamka tule pilau my wangu
Umeanza kitusagia kungunimkuu samahani,..ila hii mimi haya mambo ya kutafuta wake/waume huku mitandaoni hua sikubaliani nayo hata kidogo..mke mwema na mume mwema kwako anapatikana katika mazingira yako physically umuone,umchunguze mkutane mpendane muoane..haya mambo ya mtandaoni haya ya email sjui nini sijui mnatafutaga vitu gani huku,..why msi search huko mitaani.
ππππKumekuchaUtafirisika vibaya sana.
Wahi my wanguKweli kizuri kula na wenzakoo
Asante kuniita mpenzii
Ngoja niwahi foleni ya interview
We na mimi tusubiri sampuli zetuπ πMie sio economic fighter π€£
ππππkwa hawa hawa viumbe wa jf wa chapa ilale au kuna wengine wameshushwa??Wahi my wangu
Huyu hana tabia mbaya.πNi economical fighterππππkwa hawa hawa viumbe wa jf wa chapa ilale au kuna wengine wameshushwa??
Huyo ni version ingine π π huoni kaweka hadi email anataka economic fighterππππkwa hawa hawa viumbe wa jf wa chapa ilale au kuna wengine wameshushwa??
Aririririri ngoja nianze tafuta mshonoPilau tunalo mbona....tushaanza mazungumzo ya awali na Bwana harusi.
Magu alisema vita ya kiuchumi sio rahisi sasa mwenzetu anaimudu vip?ππππHuyu hana tabia mbaya.πNi economical fighter
ππππππππHuyo ni version ingine π π huoni kaweka hadi email anataka economic fighter
[emoji1787][emoji1787] Akisubiri mkue kue ukumbuke na yeye aliko atakuwa anaendelea kukua kua.Umri umenitoa kwenye poll
Vipi unaeza subiri tukuekue?[emoji2][emoji2]