Natafuta mke

Natafuta mke

Afadhali utoe angalizo maana wazee wa kataa ndoa, ndoa ni utapeli, ndoa ni utumwa wakipita hapa watamshauri alichonacho ajitahidi amsaidie mama yake kingine ale bata asijaribu kukokota mtoto wa mtu mwingine awe mnyonyaji ngoja tuone
Wataanza kutoa mfano wa Harmonies na Sarah
 
Ndugu Wana JF napenda kuwasalimu Kwa jina la bwana wetu yesu kristo.

Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani Kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.

Nimetumia muda wangu mwingi kuwekeza katika sector mbali mbali Ili nipige vita umaskini kwa sababu nachukia umaskini na aina zake. hakuna kitu kibaya kama umaskini.

Kwa kuwa nimejipanga vizuri sasa natafuta mke Ili tuwe na familia vile vile tusaidiane na mke kusimamia miradi iliyopo na kuanzisha miradi mingine.

Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.

Kutokana na mila na tamaduni za kiafrika miaka 38 bila kuwa na familia naesabiwa kwamba nimechelewa kwangu mimi bora nichelewe ila nifike salama.

Nimewekeza katika sector mbali mbali kama vile
(a) Accomodation service(s)
(b) wholesale and retail trades
(C) live stock herding
(d) financial services etc.

Sifa zangu.
  • Economic fighter
  • 38 years of age
  • Poverty protestant
  • Am posesing more than one university degrees
Sifa za mke
  • Economic fighter
  • matured woman from 28 to 37 years of age.
  • Mchapa kazi.

Wito
Msichana au mwanamke yeyote anayewiwa karibu tuzungumze tukikubaliana tufunge ndoa.

Mawasiliano.
1. Pm.
2. email address: wanyangithomas24@gmail.com
mkuu samahani,..ila hii mimi haya mambo ya kutafuta wake/waume huku mitandaoni hua sikubaliani nayo hata kidogo..mke mwema na mume mwema kwako anapatikana katika mazingira yako physically umuone,umchunguze mkutane mpendane muoane..haya mambo ya mtandaoni haya ya email sjui nini sijui mnatafutaga vitu gani huku,..why msi search huko mitaani.
 
mkuu samahani,..ila hii mimi haya mambo ya kutafuta wake/waume huku mitandaoni hua sikubaliani nayo hata kidogo..mke mwema na mume mwema kwako anapatikana katika mazingira yako physically umuone,umchunguze mkutane mpendane muoane..haya mambo ya mtandaoni haya ya email sjui nini sijui mnatafutaga vitu gani huku,..why msi search huko mitaani.
Umeanza kitusagia kunguni
 
Umejitahidi kupambana na kujijenga vyema kiasi hicho kwa miaka kadhaa, kwa nia njema tu unaamua kutafuta mwenza wa kuendeleza nae maisha, bahati mbaya baada ya miaka 4 - 5 ya ndoa anageuka Mburukenge anakimbilia mahakamani kudai talaka na mgawanyo wa mali. Ama kweli ndio ni ndoano, unaweza opoa samaki ama kitu cha ajabu ajabu tu.
 
Back
Top Bottom