Natafuta mke

Natafuta mke

Kinachoumiza na kusikitisha 😩😩😩 baada ya miaka kulumbembe atakimbilia mahakamani na ustawi wa jamii + vikao vya familia na kudai talaka Kwa nguvu na Ile kauli mbiu ya tugawane Mali so sad kata NDOA puliz puliz Mzee🙉🙉🙉
 
Walio reply hapa ni wengine na huko dm watakuwa wengine kibao wamepanga zao mstari....
 
mkuu samahani,..ila hii mimi haya mambo ya kutafuta wake/waume huku mitandaoni hua sikubaliani nayo hata kidogo..mke mwema na mume mwema kwako anapatikana katika mazingira yako physically umuone,umchunguze mkutane mpendane muoane..haya mambo ya mtandaoni haya ya email sjui nini sijui mnatafutaga vitu gani huku,..why msi search huko mitaani.
Watu wanamipango yao,acha kuwapangia cha kufanya
 
Back
Top Bottom