Natafuta mke

Natafuta mke

Wote wanaosema kataa ndoa ni mafukara wa kipato na fikra pia. Oa upate baraka za Mwenyezi Mungu aliye mkuu
Kwamba ukiwa humu unazijua "financial status" za watu huko nje?

After all, mwenye huu Uzi akiwa hajaoa ndio kapata mafanikio yote haya.

#YNWA
 
Ndugu Wana JF napenda kuwasalimu Kwa jina la bwana wetu yesu kristo.

Napenda kuwatangazia kwamba natafuta mke, tangazo hili nimelileta hapa jukwaani Kwa sababu jukwaa hili ni meeting point ya watu wenye rika na jinsia tofauti kutoka katika jamii mbali mbali.

Nimetumia muda wangu mwingi kuwekeza katika sector mbali mbali Ili nipige vita umaskini kwa sababu nachukia umaskini na aina zake. hakuna kitu kibaya kama umaskini.

Kwa kuwa nimejipanga vizuri sasa natafuta mke Ili tuwe na familia vile vile tusaidiane na mke kusimamia miradi iliyopo na kuanzisha miradi mingine.

Nina uwezo wa kutunza familia kwa 100% na kusomesha watoto wangu watakaozaliwa international educational institutions from kindergarten to university press without applying for higher learning students loans board.

Kutokana na mila na tamaduni za kiafrika miaka 38 bila kuwa na familia naesabiwa kwamba nimechelewa kwangu mimi bora nichelewe ila nifike salama.

Nimewekeza katika sector mbali mbali kama vile
(a) Accomodation service(s)
(b) wholesale and retail trades
(C) live stock herding
(d) financial services etc.

Sifa zangu.
  • Economic fighter
  • 38 years of age
  • Poverty protestant
  • Am posesing more than one university degrees
Sifa za mke
  • Economic fighter
  • matured woman from 28 to 37 years of age.
  • Mchapa kazi.

Wito
Msichana au mwanamke yeyote anayewiwa karibu tuzungumze tukikubaliana tufunge ndoa.

Mawasiliano.
1. Pm.
2. email address: wanyangithomas24@gmail.com
Nadhani hii gea ya kuwapata wadada wa kichaga ila kama ni kweli umekwisha. Huna haja ya kuanika kila kitu kwenye mtandao utalizwa na kupata boya halafu uanze kulialia
 
Vipi unaeza subiri tukuekue?😃😃
Wewe njoo kwa mimi babu yako. Nitakulea mpaka pale utakapo kua, halafu baada ya hapo nitakutafutia mwenyewe mume bora kabisa wa maisha yako. 😇
 
Kwa wadada watakaozama PM mjiandae kabisa maana nahisi kutakua na interview kali sana.
Kwenye panel kutakua na watu wafuatao.
1. Mtu wa NIDA na RITA kuverify umri kama n kweli
2. Profesa wa UDSM kuhakikisha kweli wewe ni ikonomiki fighter
3. Mwakilishi kutoka bodi ya masumbwi tanzania kuverify "fighter" credibility (Mandonga mtu kazi anaeza pewa shavu)
4. Katibu mkuu wizara ya kazi na maendeleo kuhakiki kuhusu "uchapakazi" wako.
5. Mwakilishi kutoka polisi ili kuhakiki kama unaweza kuandamana kuoinga chocjote umaskini included (mdau ni poverty protestant).
All in all kila la kheri kwenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mkuu samahani,..ila hii mimi haya mambo ya kutafuta wake/waume huku mitandaoni hua sikubaliani nayo hata kidogo..mke mwema na mume mwema kwako anapatikana katika mazingira yako physically umuone,umchunguze mkutane mpendane muoane..haya mambo ya mtandaoni haya ya email sjui nini sijui mnatafutaga vitu gani huku,..why msi search huko mitaani.
We ngoja apigwe na kitu kizito kichwani nimekaa [emoji117]
 
Back
Top Bottom