Natafuta mke

Natafuta mke

Una bet mpaka kwenye Mambo ya familia?!
Tanzania imekwisha......
Hapo una bet.........
Usipate mtoa 0713,
Usipate x-changudoa,
Usipate mmakonde,
Usipate aliye toa mimba,
Usipate flat screen,
Usipate mwenye watoto,
Usipate wa Mbagala,
Usipate muha,
Usipate mcheza vigodoro.
 
Una bet mpaka kwenye Mambo ya familia?!
Tanzania imekwisha......
Hapo una bet.........
Usipate mtoa 0713,
Usipate x-changudoa,
Usipate mmakonde,
Usipate aliye toa mimba,
Usipate flat screen,
Usipate mwenye watoto,
Usipate wa Mbagala,
Usipate muha,
Usipate mcheza vigodoro.
Mkeka wenyewe mechi 20 kwa jero.
 
We si unakaa Dar dada na una shape lako Amehlo 😂
Usiseme sikushirikishi mambo mazuri
 
My wangu my wangu nitoe wapi shape sasa
Hakuna binadamu asiye kua na shape.
Suala Ni, je shape uliyonayo inampendeza mtarajiwa wako?
Binafsi napenda wanawake warefu wembamba, hawana gubu, hawana majibu ya ovyo halafu Nina uhakika wa kupata watoto warefu.
 
Hakuna binadamu asiye kua na shape.
Suala Ni, je shape uliyonayo inampendeza mtarajiwa wako?
Binafsi napenda wanawake warefu wembamba, hawana gubu, hawana majibu ya ovyo halafu Nina uhakika wa kupata watoto warefu.
Imagina unakutana na kina sisi vifupi vinene 😃😃😃
 
Ungekuwa na muonekano wangekushobokea na hio elimu au pesa unazosema uko nazo
Kuna sehemu nimesema nina fedha au ndio unawashwa.

Mwanaume hajivunii muonekano,ukiona mwanaume anajivunia muonekano jua ubingwa ushavuliwa.

NB:Nimevumilia ngoja nikupe unachotaka.
 
Back
Top Bottom