Natafuta mke

Natafuta mke

Una bet mpaka kwenye Mambo ya familia?!
Tanzania imekwisha......
Hapo una bet.........
Usipate mtoa 0713,
Usipate x-changudoa,
Usipate mmakonde,
Usipate aliye toa mimba,
Usipate flat screen,
Usipate mwenye watoto,
Usipate wa Mbagala,
Usipate muha,
Usipate mcheza vigodoro.
Duuuh umegusa mulemule mkuuuu 😅😅😅
 
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-33.
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD).
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5. Awe mzuri na mwenye shape.
6. Awe anakaa Dar.
7. Awe Mkristo wa dhehebu lolote.

Mimi;
1. Nina degree ya IT.
2. Ninakazi yangu ambayo inanifanya niwe na uwezo wa kuihudumia familia.
3. Nina miaka 33.

NB: Ningependa kweli nipate mwanamke anayeijua na kuielewa taasisi ya ndoa na familia na atakayeweza kuviishi viapo vya ndoa.

Wadangaji na waigizaji msije PM mtakachokutana nacho msije kunilaumu.
Nicheki
 
Kuna sehemu nimesema nina fedha au ndio unawashwa.

Mwanaume hajivunii muonekano,ukiona mwanaume anajivunia muonekano jua ubingwa ushavuliwa.

NB:Nimevumilia ngoja nikupe unachotaka.

Duh mume mtarajiwa una hasira hutaniwi?[emoji28][emoji28][emoji28]hatari sana
 
Back
Top Bottom