Natafuta mke

nmekuja npo very serious
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
 
How can a Dr hustle like this in finding a wife here? Tanzanian ladies tuweni serious jamani..
Haiwezekani mtu mwenye maisha yake na profile kubwa hivi na tangazo zuri namna hii la kutafuta mke apambane hivi, siku zote hizi toka ametoa tangazo bado hajampata mmoja.
Tuweni serious na maisha ladies...
 
Wanaringaga na wanadharau na hawana aibu kukutreat sheet yaani hujawahi ishi nao
 
Inawezekana wadada tumeenda ila hajaridhika na muonekano wetu,..
Lazima atakuwa anaangalia wa kuendana pia.
 
Inawezekana wadada tumeenda ila hajaridhika na muonekano wetu,..
Lazima atakuwa anaangalia wa kuendana pia.
Wanaangalia muonekano...
Kuna mengi mazuri ya mtu yamejificha ndani yake ambayo hakuna picha duniani inaweza kuyaonesha kwa nje.
Poa mwaya. Kila mtu ana mtu wake. Ikiwa hivi jua hakuwa wako. Kutafuta kuendelee. Hadi umpate atakayeona unamfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…