Natafuta mke

Ndoa ngumu sana miak hii ukikutana Hao waliooa na kuolewa ni balaa,
Last day nilikutana na rafikiyangu tuna 2 yrs hatujaonana sabbu ya majukumu kaolewa na mwanaume mzuri tu nyumbanzuri gari Kali mume kijana Wana mtoto lakn Hadith ya maishayao choz lilinitoka nyie aache tuziogope ndoa tuongeze Dua tu mambo yamebadilikasana
 
Kwakweli Mungu atusaidie kizazi hiki.
 
Kumbe Bado tu hujapata
Yaani nimekaa kusubiri msg yako naona kimyaa, pamoja kwamba nilileta special request kwako lakini umenipotezea . Nimeumia sana ujueee!
Hebu ukuje basi wife material jamani, nami nitajitahidi kuwa best husband kama mshua alivyokulea wewe mke nikupendaye ๐Ÿ˜˜
 
Ukisikia tego la mkunga ndio hili soon anatafutwa wakulivagaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Aaliyyah binti uliyelelewa kwenye misingi mizuri unapendwa ndugu yangu. Jaribu bahati yako kwa Daktari.
Chezea kuitwa mama Dr.
 
Inawezekana wadada tumeenda ila hajaridhika na muonekano wetu,..
Lazima atakuwa anaangalia wa kuendana pia.
Sijui kwann watu hawawazi hili. Kila mtu ana choice zake. Sio kisa kaweka bandiko basi bora liende
 
Sijui kwann watu hawawazi hili. Kila mtu ana choice zake. Sio kisa kaweka bandiko basi bora liende
Hata hajalazimisha akubaliwe maana mapenzi hayalazimishwi. Amekubali kuikosa nafasi, hapo alikuwa anajielezea tu kunijibu Maana nilidhani wadada hawajamwendea Daktari PM.
 
Hata hajalazimisha akubaliwe maana mapenzi hayalazimishwi. Amekubali kuikosa nafasi, hapo alikuwa anajielezea tu kunijibu Maana nilidhani wadada hawajamwendea Daktari PM.
[/QUTE]
Lazima watakua wameenda dear
 
Aaliyyah binti uliyelelewa kwenye misingi mizuri unapendwa ndugu yangu. Jaribu bahati yako kwa Daktari.
Chezea kuitwa mama Dr.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€Apambane tu atapata wa kuendana nae,hayo mambo ya malezi ni ya kusadikika ukute ninatabia mbovu kuliko๐Ÿ˜€awe mvumilivu tu wakat wake ukifika atapata tu inshallah
 
Dr ushapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ