karandarugo
Member
- Apr 23, 2015
- 39
- 7
Habari zenu wakuu,
Mimi sina mambo mengi ya kueleza, ninachohitaji ni mke ambaye tutaelewana na kuoana. Sijali dini, kabila, elimu wala kipato.
Mimi ni muislamu, umri wangu ni miaka 30, sina mtoto wala sijawahi kuoa, nimeajiriwa katika sekta binafsi, nipo kagera kwa aliye tayari aje tuyajenge.