Natafuta mke

Mwenyeku

Member
Joined
Jul 3, 2023
Posts
15
Reaction score
28
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32.

Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila na umbo sio inshu sana dini pia sio shida akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.

Kama kuna mtu yupo tayari aje PM please, kama utahitaji kujuana kwanza pia vizuri.

Karibu.

Update:-
Shida sio wapi tumekutana hili lisiumize kichwa kuna watu wanaoa bar na wanaishi,, sisi wote ni watu
 
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma,, kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32
Mke hawezi kula elimu yako wala ufundi wako

Taja kipato chako kwa mwezi cha uhakika shilingi ngapi?

Kubweka ohh mimi nimesoma hadi hapa ohh mimi fundi hayo maneno matupu weka pesa unapata kwa mwezi.
 
Mke hawezi kula elimu yako wala ufundi wako

Taja kipato chako kwa mwezi cha uhakika shilingi ngapi?

Kubweka ohh mimi nimesoma hadi hapa ohh mimi fundi hayo maneno matupu weka pesa unapata kwa mwezi.
Ni kweli mkuu elimu sio deal sana hasa hasa kwenye ndoa kikubwa ni kukidhi mahitaji,,, wastani wa kipato changu ni 180k -400k per month inategemea na mwezi wenyewe maana shughuli zangu sio uhakika sana japo 180k kwa kila mwezi haikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…