Mwenyeku
Member
- Jul 3, 2023
- 15
- 28
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32.
Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila na umbo sio inshu sana dini pia sio shida akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.
Kama kuna mtu yupo tayari aje PM please, kama utahitaji kujuana kwanza pia vizuri.
Karibu.
Update:-
Shida sio wapi tumekutana hili lisiumize kichwa kuna watu wanaoa bar na wanaishi,, sisi wote ni watu