Natafuta mke

Natafuta mke

mimi nikitaka mume chap kwa haraka napata huku mitaani niliko, wala haina haja ya kuja huku....humu mnipe tu ushauri nikipigwa na vitu vizito[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi nije mtaani kwako mkuu?
 
Anahitajika mdada kuanzia 24-30 kama yupo tayari kuanza maisha ya ndoa nipo Dodoma. Kazi yangu ni fundi wa ujenzi elimu yangu kidato cha nne, umri miaka 32.

Awe tayari tu kuolewa. Rangi, kabila na umbo sio inshu sana dini pia sio shida akiwa na mtoto mmoja sio mbaya.

Kama kuna mtu yupo tayari aje PM please, kama utahitaji kujuana kwanza pia vizuri.

Karibu.
Vigezo rahisi sana nakuombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nieleweshe mkuu,, mm kanisan naenda sana sema kule hata kutongozi inakuwa ngumu nadhan unajuwa wanavyokuwaga serious kama malaika vile
Mfuate kiongozi wako wa dini kisha mueleze hiyo shida yako.
 
Back
Top Bottom