Natafuta mke

Natafuta mke

setting

New Member
Joined
Oct 8, 2023
Posts
1
Reaction score
3
Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mkee maana huu ndo muda sahihi

Sifa za mke ninaemuhitaji

1)Maji ya kunde au mweupe
2)Sio lazima awe na ajira maana mimi ninayo ajira nzuri tu
3)Lazima awe muislamu
4)Apende masuala ya biashara na kujishughulisha
5)Akijua kusoma inatosha
6)Umri kuanzia miaka 35 kushuka chini

Sifa zangu

1)Mweusi
2)Ninaajira ya kudumu serikali na mfanyabiashara
3)Muislamu
4)Umri wa wangu 35
 
Badilisha heading ya thread isomeke UNATAFUTA MKE na sio kutafuta mke.
 
Hii inakuhusu, vigezo vyote vimetimia kabisa, mkizama huko chumbani maswala la jiografia yazingatiwe. Mahusiano ya mbali mbali ni kichefuchefu.👊
Sema nimezeeka😀😀
 
Back
Top Bottom