Natafuta mke

Yaani kalenga penyewe....sema huyu mafao yatakuwa yako kwenye process.
Tu-asume mpaka mwezi 6 tayari atakuwa amepata mafao yake
Ndio utakuwa muda sahihi wa kwenda Pm yake.
Sahv acha wife material waanze wao kwanza....🀭
Mmmh Sasa tukikuta nafasi zimejaa itakuwajeπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”?Cha msingi tuwahi nafasi halafu tukae kimachalemachale tukingojea mafao yatoke
 
nilitaka nikuite babu ila nimegundua na mimi umri umeenda, sa hivi mtu ninayequalify kumuita babu awe na miaka kuuanzia 75. Officially JF hamna babu zangu kwa sasa kuna baba zangu tu.

Kila la heri baba, lakini hujatuambia
Mafao yanatoka lini?
 
Hivi nyie wadada wa JF hakuna mwenye mapenzi ya dhati?mbona wote mnawaza mafao ya mchumba badala muwaze ndoa,mkoje lakini?
 
Mmmh Sasa tukikuta nafasi zimejaa itakuwajeπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”?Cha msingi tuwahi nafasi halafu tukae kimachalemachale tukingojea mafao yatoke
Ila wewe ni bonge moja la jambazi.
Mbinu hii ni moja la mbinu.
Twende...πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Uzi kama huu angeleta jinsia ke ndio mngeona dunia haina usawa
Angekutana na kila aina ya kejeli

Nwei,kila la heri
Tatizo nini wewe? Usilalamike hata wewe una qualify maana hujavuka 54.
Ila kuna mishangazi iko 54+ iko njema yaΓ ni unachapiwa kabisa na vibenten.
 
Nipo dar na nahitaji mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano ambaye atakuwa mke wangu. Muhimu awe mkweli na muamunifu na umri wake usiZidi miaka 54 Mimi umri wangu ni miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana
Mzee mwenzangu hali gani? Kuna huyu alinambia akipata wa kumuoa yuko tayari, yuko 53 ila ana dongo zuri anafanana na wa 45+. Yalikuwa mazungumzo tuu siyo kwa ajili ya hili tangazo. Yupo Tanga nimpe namba? Mume wake alifariki 2021. Ni mfanyakazi wa chama CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…