Natafuta mke

Natafuta mke

Mzee mwenzangu hali gani? Kuna huyu alinambia akipata wa kumuoa yuko tayari, yuko 53 ila ana dongo zuri anafanana na wa 45+. Yalikuwa mazungumzo tuu siyo kwa ajili ya hili tangazo. Yupo Tanga nimpe namba? Mume wake alifariki 2021. Ni mfanyakazi wa chama CCM.
Toa connection.
 
Kila la heri braza,
Sema ukipata wa late 30s hivi hadi late 40s hapo, wana papa tam sana⛷️⛷️⛷️, ufurahie uzee wako mkuu.
 
Mbona watu mmekomalia mzee na uzee wake....mbona mwanaume wa miaka 60 kama anajitunza vizuri na hana maradhi nyemelezi huwezi kumjua mpaka akuambie.......

Miaka sitini kwa mwanaume bado Sana.....at least labda miaka 75 huko.....lakini miaka 60 bado tu ana nguvu zake......

Kinachotumaliza watu wengi tuna mitindo ya maisha mibaya inapelekea watu tunawahi kuchoka.......
images (15).jpeg
 
Umesema sahihi kabisa, mimi mwenyewe usiponiuliza utafikiri niko fifty.
 
Umesema sahihi kabisa, mimi mwenyewe usiponiuliza utafikiri niko fifty.
Hakika ndugu.....
Watu hawajui kujitunza.......

Kula vizuri......fanya mazoezi......pata muda mzuri wa kulala......kunywa maji ya kutosha.,....mbona watu wanakuwa wanakushangaa.........

Vijana wanamalizwa na mavyakula yenye sumu, mipombe na hawafanyi mazoezi yoyote......mtu akifika miaka 45 kachoka hoi.........

Sio Siri wanaume wanaojitunza kuijua miaka yake mpaka akuambie......
 
Back
Top Bottom