Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kwani we unataka sura yake ya Nini madam?mkullima kweli wewe?mbona unachagua jembe?🤣🤣🤣...akikupa picha yake nitumie....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we unataka sura yake ya Nini madam?mkullima kweli wewe?mbona unachagua jembe?🤣🤣🤣...akikupa picha yake nitumie....
Toa connection.Mzee mwenzangu hali gani? Kuna huyu alinambia akipata wa kumuoa yuko tayari, yuko 53 ila ana dongo zuri anafanana na wa 45+. Yalikuwa mazungumzo tuu siyo kwa ajili ya hili tangazo. Yupo Tanga nimpe namba? Mume wake alifariki 2021. Ni mfanyakazi wa chama CCM.
...😂😂😂Kwani we unataka sura yake ya Nini madam?mkullima kweli wewe?mbona unachagua jembe?🤣🤣🤣
Nataka idhini yake, unaweza kuta pm yake imejaa msg zinagongana tuu.Toa connection.
Siyo kataa ndoa, hujui sababu mke wake yuko wapi. 60 parefu labda mgane.Pale Kataa ndoa anapozeeka sasa anatafuta mke
Good.Nataka idhini yake, unaweza kuta pm yake imejaa msg zinagongana tuu.
🤣🤣🤣Ila wazee wa siku hizi mmepinda sana!Kila la heri braza,
Sema ukipata wa late 30s hivi hadi late 40s hapo, wana papa tam sana⛷️⛷️⛷️, ufurahie uzee wako mkuu.
Umesema sahihi kabisa, mimi mwenyewe usiponiuliza utafikiri niko fifty.Mbona watu mmekomalia mzee na uzee wake....mbona mwanaume wa miaka 60 kama anajitunza vizuri na hana maradhi nyemelezi huwezi kumjua mpaka akuambie.......
Miaka sitini kwa mwanaume bado Sana.....at least labda miaka 75 huko.....lakini miaka 60 bado tu ana nguvu zake......
Kinachotumaliza watu wengi tuna mitindo ya maisha mibaya inapelekea watu tunawahi kuchoka.......
🤣🤣🤣🤣...😂😂😂
Jamaniiii....
Kwani na wewe Mzee?Umesema sahihi kabisa, mimi mwenyewe usiponiuliza utafikiri niko fifty.
Kuwa na adabu basi wazee wa siku hizi tumepinda wapi?🤣🤣🤣Ila wazee wa siku hizi mmepinda sana!
Kwanini unasema tumepinda Joannah, hawa ndio wanawake wa kuwa nao. Hawawezi kumpa stress braza etu!🤣🤣🤣Ila wazee wa siku hizi mmepinda sana!
Mi nashangaa hapo kwenye papa tu😁Kwanini unasema tumepinda Joannah, hawa ndio wanawake wa kuwa nao. Hawawezi kumpa stress braza etu!
Hakika ndugu.....Umesema sahihi kabisa, mimi mwenyewe usiponiuliza utafikiri niko fifty.
Eeeh, nasema ukweri kabisa Jo, ukigusa tu utelezi wa kutosha, sijajua kama libido inaongezeka au niaje😅Mi nashangaa hapo kwenye papa tu😁