financial servicesHabari wadau,
Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu.
Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana watoto wasizidi wa 2 ndio uwezo wangu wa kulea.
Nahitaji mtu alikuwa tayari na serious.
HahahahaUmri wako unapungua kila mwaka [emoji28]