Natafuta Mke

Natafuta Mke

Tripp

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
898
Reaction score
1,545
Habari wadau,

Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu.

Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana watoto wasizidi wa 2 ndio uwezo wangu wa kulea.

Nahitaji mtu alikuwa tayari na serious.
 
Mtaani kwako,kazini,matembezini,kwenye starehe,jirani,kabila lako,kote huko umekosa au ndo kidumu chama cha mapinduzi
 
Habari wadau,

Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu.

Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana watoto wasizidi wa 2 ndio uwezo wangu wa kulea.

Nahitaji mtu alikuwa tayari na serious.
financial services
 
Back
Top Bottom