Natafuta mke

Natafuta mke

Huyo anatafuta kitonga hakuna mume hapo jirani 🤣🤣🤣🤣
Mimi ndio ninayefanya vetting ya Mke anayemtaka Sifa keshaziweka tuma maombi, halafu ukifika kwenye vetting nitakupitisha Wewe 😁😁😁
 
Mimi ndio ninayefanya vetting ya Make anayemtaka Sita keshaziweka tuma maombi, halafu ukifika kwenye vetting nitakupitisha Wewe 😁😁😁
😂😂😂😂 Akhu! Muoaji mwenyewe hajaweka sifa zake tuzione ili tujiridhishe..!!
 
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.

Mimi nina miaka 36

Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...

Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.

Kabila lolote.

Aliye tayari karibu PM
tembelea kawe kanisani au mahala pengine anapohubiriwa mfalme wa falme Yesu Kristo, siku za maombi na maombezi na sadaka kidogo tu, nawe utapokea nia, haja na kusudi la moyo wako mapema sana tena bila kuchelewa 🐒

mtihani utabaki kwako kuamua Nuru au giza 🐒
 
Vzr kabisa
 
Back
Top Bottom