Natafuta mke

Peribus

Senior Member
Joined
Nov 28, 2021
Posts
101
Reaction score
177
Habari za wakati mabibi na mabwana!!
Mimi ni kijana umri wa miaka 30 ,kwa moyo wa dhati na udhubutu naomba kuwafahamisha rasmi kuwa maisha ya ubachela yamenifikia kikomo nahitaji mchumba vigezo,
Umri kuanzia 23-25
Elimu, kuanzia kidato Cha nne Hadi diploma
Kazi - anayeweza kujituma hata akiachiwa kazi/ biashara
Rangi- maji ya kunde au weupe kiasi
Umbo- mrefu kiasi na mwembamba (5" had 5.5")
Mimi najishuhulisha na biashara mbalimbali mjin dsm ,kwa Sasa nipo Moshi.
Nb; Niko na kiu haswa sio utani karibuni pm warembo tajwa😊
 
Hata mke wa mtu??

Anyways warembo wa JF nawaombeni hii nafasi mumuachie Lamomy
 
Ukikosa humu itabidi
1) unaenda kanisani Kuna hawa waimba kwaya. Unacheki na anaowasimamiaga mara nyingi huwa ana details za watu wake, so unamwelekeza anakuunganisha.
2) unaenda madrasa unaongea na ostaz chap anakuunganisha na mtoto wa kiarabu, most of time wanakuwaga bikra wale. Ila cha muhimu uwe serious.

Mimi nilifanyaga hiyo option 2, aise Mke ananiheshimu vibaya mno, sahivi nina katoto kamoja.
 
Uko moshi umekosa mwanamke kweli? Sasa kama unaowaona kwa macho umeshindwa kupata umefikia unataka ambae humuon ata kwa macho. Tabia zake utazijuaje sasa
 
Mkuu nahisi we ni mchaga,Halafu huko bush kwenu umekosa manzi unayeendana nae hadi unakuja kwenye mitandao?Mbaya zaidi Jf ambayo nyuma ya keyboard njemba inaweza jiita pisi Kali na ukaamini?
Hebu tupumzishe mkuu.
 
Ukipata wawili niachie m1 bro, nakushukuru sana
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…